— Habari, Umeshajiunga Mobivet?

Fuga Kidigitali na Mobivet

Mobivet ni programu ya simu iliyoundwa ili kuongeza ufanisi kwa wafugaji wa kibiashara. Pakua programu ya Mobivet sasa ufurahie ulimwengu wa kisasa. 

Illustration
Illustration
Veterinary Medicine iconVeterinary Medicine icon for website, application, printing, document, poster design, etc.

Pata Msaada wa Wataalamu

Mobivet inakuunganisha na wataalamu wa mifugo pamoja na wauzaji bora wa pembejeo za ufugaji.  

Tunza Rekodi Kidigitali

Mobivet inakuwezesha kutunza rekodi zako za ufugaji kwa njia ya kisasa zaidi. 

woman- cat- pet- avatar- love

Nunua pembejeo kigangani mwako

Kwanini usumbuke na kero za usafiri wakati una uwezo wa kununua pembejeo kutoka kwenye simu yako? Karibu Mobivet ufurahie uhondo. 

Jifunze kutoka kwenye mijadala

Kujifunza kila siku ni muhimu sana. Mobivet inakupa fursa ya kujifunza na kuchangia ujuzi kupitia kwenye mijadala ya ufugaji. 

Kujiunga ni Bure!

Bado hujajiunga tu, unasubiri nini? Kujiunga na Mobivet ni bure. Hakuna gharama yoyote ya kuunganishwa. Ni wewe tu na bando lako. 

— karibu katika ulimwengu wa kisasa!

Tunaishi ili kukuinua kiuchumi 

Programu ya Mobivet imebuniwa na wafugaji kama wewe. Tumefuga, tukaona changamoto zake. Tunaelewa unachokipitia, na ndio maana tunakuletea suluhisho kiganjani mwako. 

  Kutana na wauzaji wa pembejeo moja kwa moja kiganjani mwako.  
  Pata kila unachohitaji kwa uharaka na ufanisi zaidi. 
  Lipia pale tu unapohitaji huduma. Unasubiri nini? Jiunge na mtandao janja zaidi wa wafugaji Tanzania! 


— Maswali yanayojirudia kutoka kwa wateja wetu!

Tupo kwa ajili ya kuhakikisha ufugaji wako unaongeza tija!  

Tunafanya kila tuwezalo kukupa huduma bora zaidi. Tunakuletea majibu ya maswali ambayo mara nyingi huulizwa na watumiaji wa programu yetu.

 • Huduma yenu inapatikana kwa wafugaji wa mikoa gani? 

  Programu ya Mobivet inaweza kutumika na wafugaji kutoka sehemu zote Tanzania. 

 • Nalipa kiasi gani ili kujiunga? 

  Kujiunga ni bure kwa sasa. Utalipa pale tu unapohitaji huduma kutoka kwa wauzaji wa pembejeo au wataalamu wa ufugaji! 

 • Nawezaje kupata msaada wa kitaalamu kupitia Mobivet? 

  Baada ya kupakua programu na kujisajili, nenda kwenye sehemu ya wataalamu. Utaona orodha ya wataalamu wetu wa mifugo wanaoaminika walioorodheshwa. Chagua yoyote katika ya hao kulingana na ukaribu wao na kisha uweke miadi, au kuwatumia ujumbe. Tutakutafuta kwa njia ya simu mara baada ya kupokea ombi lako. 

 • Nawezaje kuwasiliana na huduma kwa wateja? 

  Ni rahisi sana. Tutumie ujumbe wa whatsapp, au piga kupitia simu namba +255 788 655 222. 

— Washirika wetu

Mobivet imepewa nguvu na: 

Illustration

— Wasiliana nasi

Bado una maswali?

Jisikie huru kuwasiliana nasi kuuliza swali lolote. Furahi yetu ni kuona biashara yako ya ufugaji inafanikiwa!

Sisi

Mobivet imetengezwa kwa ushirikiano kati yaMobivet LTD (Rwanda), Dracula Innovations (Tanzania) na Magofarm LTD (Rwanda).Simu

   +255 788 655 222 (Whatsapp)

Asante!

Tumepokea ujumbe wako. Tutakupigia mara baada ya kuupitia. 

Can't send form.

Please try again later.